Tatizo la Uvimbe kwenye kizazi ( Uterine Fibroids).
Uterine fibroids ni uvimbe wa kawaida unaokua kwenye mfuko wa uzazi usiokuwa wa saratani. Mara nyingi uvimbe huu hujitokeza katika miaka ya uwezo wa kushika mimba na kujifungua. Hii Si kansa, na mara nyingi vimbe hizi kamwe haviwezi kuwa kansa.
Pia havihusiani na hatari kubwa ya aina nyingine za saratani ya mfuko wa uzazi, hadi pale panapokuwapo na Hatari zingine nyingi zaidi. Uvimbe kwenye kizazi (Fibroids) pia huitwa leiomyomas au myomas.
Fibroids hutofautiana kwa idadi na ukubwa: unaweza kuwa na uvimbe mmoja au vimbe nyingi kwa pamoja. Baadhi huwa ni vidogo sana, vingine hukua hadi kufikia ukubwa wa chungwa kubwa au zaidi, na vinaweza kuwa vikubwa sana hadi kupindisha umbo la mfuko wa uzazi.
Katika hali kali mno, vinaweza kujaza nyonga au tumbo na kumfanya mtu aonekane kama mjamzito.
Watu wengi huwa wana fibroids wakati fulani wa maisha, lakini mara nyingi hawajui kwa kuwa havileti dalili yoyote ya wazi. Mara nyingi hugundulika tu wakati wa uchunguzi wa vipimo vya nyonga au ultrasound ya ujauzito.

Makala zaidi: Dawa ya uvimbe kwenye kizazi Bila Upasuaji
1.Dalili za uvimbe kwenye kizazi
Watu wengi japo huwa hawana dalili mwanzoni. Lakini wanapokuja kupata dalili, hutegemea mahali uvimbe ulipo, ukubwa wake na idadi ya hizo fibroids.

Dalili za kawaida ni:
- Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi au hedhi yenye maumivu makali.
- Hedhi ndefu au zinazorudia mara kwa mara.
- Kuhisi Shinikizo au maumivu ya nyonga.
- Kukojoa mara kwa mara au kupata shida wakati wa kukojoa.
- Tumbo kuongezeka ukubwa.
- Kukosa choo.
- Maumivu ya tumbo, mgongo wa chini au maumivu wakati wa tendo la ndoa.
Fibroid inaweza kusababisha maumivu makali ikiwa inakosa mtiriiko wa damu na kuanza kupoteza mishipa mingi.
2.Aina kuu zauvimbe kwenye kizazi (uterine fibroids):
- Intramural: Hukua ndani ya ukuta wa misuli ya uterasi.
- Submucosal: Hujitokeza ndani ya tundu la uterasi.
- Subserosal: Hujitokeza upande wa nje wa uterasi.

3.Lini ni Muda sahihi wa kumuona Dakitari.
Wasiliana na daktari kwa haraka sana ikiwa una:
- Maumivu ya nyonga yasiyoisha.
- Hedhi nzito au yenye maumivu yanayokuzuia kufanya shughuli zako.
- Kutokwa damu kati kati ya kipindi cha mzunguko.
- Unapata Shida ya kutoa mkojo.
- Unapata Uchovu wa mara kwa mara (dalili za upungufu wa damu).
Pata matibabu ya haraka iwapo una hali ya kutokwa na damu nyingi sana ukeni au maumivu makali ya ghafla ya nyonga.

Makala zaidi: Hali ya kutokwa na uchafu ukeni | Mambo 8 ya Kuzingatia
4.Sababu Uvimbe kwenye kizazi.
sababu za uvimbe kwenye kizazi ambazo ni za moja kwa moja-Hazijulikani , lakini kuna mambo yanayohusiana ni ukuaji wa vimbe hizi ni pamoja na:
- Mabadiliko ya vinasaba (genes).
- Mabadiliko makubwa ya Homoni (estrogen na progesterone).
Huchochea ukuaji wa fibroids na hufanya zikue wakati wa umri wa uzazi. Baada ya kukoma hedhi, fibroids huwa zinapungua.

- Vichocheo vya ukuaji na extracellular matrix (ECM). Huchangia ukuaji na uimara wa fibroids kuendelea kuwepo na kukua zaidi.
5. Hali Hatarishi zaidi kwa uvimbe kwenye kizazi.
- Umri wa uzazi.
- Rangi: Watu weusi wana uwezekano mkubwa wa kuwa na fibroids, wakiwa wadogo zaidi, na mara nyingi wakipata fibroids huwa kubwa zaidi.
- Historia ya kifamilia. Ikiwa mama au dada ana fibroids, hatari yako ya kupata fibroids huongezeka zaidi.
- Mambo mengine: Kuanza hedhi mapema (kuvunja ungo kabla ya miaka 10), unene kupita kiasi, upungufu wa vitamini D, ulaji mwingi wa nyama nyekundu na ulaji kidogo wa mboga/ matunda/ ulaji mkubwa wa maziwa, na unywaji wa pombe.

Makala zaidi: Mzunguko wa hedhi | Mambo 9 Muhimu Kuyafahamu.
6.Madhara ya Vimbe kwenye kizazi.
Fibroids mara nyingi hazina hatari nzito za moja kwa moja hasa kama hauna shida ya kuwa na watoto, lakini zinaweza kusababisha madhara fulani kwa mwingine anaweza asione kama ni mazito. haya ni Baadhi ya madhara ya uvimbe kwenye kizazi:

- Maumivu makali mno ya nyonga.
- Upungufu wa damu (anemia) mara kwa mara kutokana na kutokwa damu nyingi sana wakati wa hedhi, pia kusababisha uchovu mwingi.
- Kukwamisha juhudi za kushika mimba.Mara nyingi sana vimbe kwenye kizazi ni kikwazo cha mimba kushika kutokana na mvurugiko wa homoni na mwingiliano wa mirija ya uzazi kuziba.
- Katika ujauzito (ikiktokea umepata), zinaweza kuongeza hatari ya:
- Placental abruption (kondo la nyuma kujitenga na uterasi(kuachia).Hali hii inaweza kupelekea kujifungua kwa upasuaji
- Kukua kwa mtoto kwa shida (fetal growth restriction).
- Kujifungua mapema kabla ya wakati (Mtoto njiti).
7.Jinsi ya Kuzuia uvimbe kwenye kizazi.
Japo Hakuna njia Moja ya moja kwa moja iliyokamili ya kuzuia fibroids, lakini unaweza kupunguza hatari kwa:
- Kudumisha uzito mzuri.
- Kufanya mazoezi mara kwa mara.
- Kula lishe yenye matunda na mboga nyingi.
- Kuepuka au kupunguza vyakula vyenye estrogen nyingi kama: vyakula vya kukaangwa, maziwa, mayai, nyama nyekundu n.k

Baadhi ya tafiti zinaonyesha dawa za kuweka sawa mpangilio wa homoni zinaweza kupunguza hatari, lakini utafiti zaidi unahitajika.
Je unasumbuliwa na Tatizo hili na ungependa kupata ushauri wa moja kwa moja kuhusu Mpango wa Tiba ya kuondoa uvimbe bila upasuaji? Tuma ujumbe wenye neno TIBA YA UVIMBE Kwenda WhatsApp 0711 556 377
Hatimaye DR. WILLIAM LEE Avujisha Siri Hii
Ya Mchanganyiko Wa Mimea 84
Utakaokusaidia:
Kuondoa Uvimbe Kwenye Kizazi Bila Operation,
Kupunguza Tumbo Kubwa la Uvimbe,
Kurejesha Hedhi ya Kawaida
& Kurudisha Uwezo wa Kushika Mimba
(Hata kama umeambiwa una Fibroids, Ovarian Cyst, Endometriosis,
Hedhi kali, Maumivu makali ya tumbo, au umeambiwa Operation ndio suluhisho pekee)
Wameondokana na Uvimbe Kwenye Kizazi
Bila Operation kwa Kutumia OVA CARE
Mpendwa Mwanamke…
Je, ungependa kuondoa uvimbe kwenye kizazi bila operation,
kupunguza maumivu ya tumbo la chini,
kurudisha mzunguko wako wa hedhi,
na kupata tena matumaini ya kushika mimba?
👉 Kama jibu lako ni NDIO,
hakikisha unasoma ujumbe huu mpaka mwisho.
Na hii hapa chini ndio sababu 👇
🔬 Dr. Lee – Mtaalamu wa Afya ya Wanawake na Homoni
Dr. Lee, ambaye amejikita kwa miaka mingi katika:
- 👉 Afya ya homoni za wanawake
- 👉 Uvimbe wa kizazi (Fibroids & Ovarian Cysts)
- 👉 Matibabu yasiyo ya upasuaji
“Uvimbe kwenye kizazi sio ugonjwa wenyewe,
bali ni MATOKEO ya tatizo kubwa zaidi ndani ya mwili wa mwanamke. Mara nyingi hutokana na mvurugiko wa homoni, sumu zilizojikusanya mwilini, na mzunguko duni wa damu kwenye kizazi.”
Anaongeza kwa kusema:
“Ndiyo maana upasuaji pekee hauondoi tatizo kwa kudumu, kwa sababu hauhusiki na KIINI cha uvimbe.”
🔑 Maana ya Jambo Hili ni Hii Hapa...
Kama unatibu dalili pekee bila kushughulikia chanzo cha tatizo,
basi uvimbe una nafasi kubwa ya kurudi tena.
Kama unatibu:
- • Maumivu pekee
- • Au kukata uvimbe kwa operation
lakini hujashughulikia homoni, sumu mwilini, na mzunguko wa damu kwenye kizazi,
👉 uwezekano wa uvimbe kurudi upo juu sana.
⚠️ Kwa Uhalisia wa Kitabibu
Uvimbe kwenye kizazi mara nyingi ni matokeo ya muda mrefu ya matatizo yafuatayo:
- • Hormonal Imbalance (Estrogen dominance)
- • Sumu (toxins) zilizojikusanya mwilini
- • Mzunguko duni wa damu kwenye kizazi
- • Magonjwa ya tumbo, ini au mfumo wa mmeng’enyo
KWAHYO:
Ili kuondoa uvimbe kwenye kizazi MILELE, huwezi kutegemea:
- ❌ Operation peke yake
- ❌ Dawa za kupunguza maumivu
- ❌ Sindano au injections za homoni
👉 Unahitaji TIBA itakayoshughulikia KIINI & CHANZO CHA TATIZO.
NA
👉 Tiba pekee yenye uwezo wa kufanya hivyo
ndiyo hii unayoenda kuiona ndani ya sekunde 60 zijazo…
Huniamini?
Basi soma hadi mwisho.
Hawa ni baadhi ya wanawake waliokuwa na uvimbe kwenye kizazi-na leo wanaishi bila maumivu yoyote.
Labda unajiuliza…
Je, mimi ni nani… na kwa nini uniamini?
Habari…
Naitwa Dr. RENATUS LUTAMBI-Nimekuwa nikiwasaida wanawake kuondokana nauvimbe bila upasuaji-Pamoja na kuwezesha kushika mimba kwa Haraka,
Naishi Dar es Salaam – Tanzania.
Na hii hapa ndio story yangu mwenyewe 👇
🔙 Nakurudisha nyuma mpaka…
Mwaka 2020
Mke wangu alianza kupata changamoto hizi:
- • Maumivu makali ya tumbo la chini, kiuno na nyonga
- • Hedhi zilizoambatana na maumivu makali sana
- • Maumivu makali kabla na baada ya hedhi
- • Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
Baada ya kufanyiwa vipimo, madaktari walimwambia:
“Ana uvimbe kwenye kizazi wa ukubwa wa cm 7.2 – Operation ni suala la lazima.”
💔 Hilo lilikuwa pigo kubwa sana kwetu.
Nilianza Kupambana Kutafuta Ufumbuzi wa Tatizo Hilo...
Nikaanza kupambana kwa nguvu zote kumtafutia mke wangu ufumbuzi wa tatizo lake.
Tulifanya kila kitu ambacho mtu yeyote angefanya:
- • Vipimo katika hospitali tofauti tofauti
- • Ultrasound mara kwa mara
- • Dawa za hospitali, vidonge na sindano
- • Vidonge vya homoni
LAKINI…
- ❌ Uvimbe haukupungua
- ❌ Maumivu yaliendelea vile vile
- ❌ Hofu ya kupoteza kizazi iliongezeka sana kwetu
🔍 Mpaka Nilipokutana na Ripoti ya Kitaalamu-ya Dr William Li
Ripoti hiyo ilisema:
“Fibroids na uvimbe wa kizazi
SI UGONJWA – ni MATOKEO ya
mzunguko mbovu wa homoni,
sumu zilizojikusanya mwilini,
na damu kushindwa kufika vizuri kwenye kizazi.”
Na hapo ndipo kila kitu kilianza kubadilika.
🧠 Hapo Ndipo Nilipoelewa Ukweli Huu
“Huwezi kuondoa uvimbe kwa kukata tawi,
wakati mzizi bado upo pale pale…”
SASA SWALI NI:
Mwanamke afanye nini ili aondokane na uvimbe kwenye kizazi bila operation?
Jibu ni hili 👇
“Tibu KIINI cha tatizo – na sio dalili.”
🔑 KIINI CHA UVIMBE KWENYE KIZAZI NI:
- • Homoni (Estrogen dominance)
- • Sumu zilizojikusanya mwilini
- • Mfumo dhaifu wa ini & utumbo
- • Damu kushindwa kuzunguka vizuri kwenye kizazi
NA:
Tiba pekee yenye uwezo wa kushughulikia vyanzo vyote kwa pamoja, ni hii niliyoenda kuigundua baada ya kujifunza kutoka kwa Dr. Lee, na wataalamu wengine wa afya ya wanawake, na kufanya tafiti nyingi sana.
👉 Formula ile ile ya mimea 84 iliyomsaidia mke wangu kuondokana na uvimbe, kurejesha afya ya uzazi, na leo hii tuna watoto, imeandaliwa kwa Ubora na kwa umakini ili ikusaidie wewe pia, kumaliza Uvimbe BILA UPASUAJI...
OVA CARE
Dawa ya Asili ya Kuondoa Uvimbe Kwenye Kizazi Bila Operation
OVA CARE imetengenezwa kwa mchanganyiko wa mizizi & mimea adimu inayosaidia mwili wa mwanamke:
- • Kusawazisha homoni
- • Kuyeyusha uvimbe taratibu lakini kwa uhakika
- • Kusafisha sumu mwilini
- • Kuboresha mzunguko wa damu kwenye kizazi
Maajabu aliyopata Mke wangu Mapema sana Enzi Hizo...Kwa Jutumia Mchanganyiko wa OVA CARE
Nilimpa mke wangu mchanganyiko huu nilioutengeneza baadaye kuuita OVA CARE.
- ✔ Baada ya siku 7 – maumivu yalipungua sana
- ✔ Baada ya siku 14 – hakukuwa na maumivu kabisa, aliendelea na kazi zake
- ✔ Baada ya siku 21 – hedhi ikaja ya kawaida, bila mabonge wala maumivu
- ✔ Baada ya mwezi 1 – uvimbe ulipungua zaidi ya nusu (kutoka cm 7.2 hadi 3.4)
- ✔ Baada ya miezi 4 – aliweza kushika ujauzito
Leo Hii, Anaishi Vizuri Kabisa:
- • Hana maumivu
- • Hana uvimbe unaomsumbua
- • Afya ya uzazi imerudi NORMAL, hana dosari yoyote
- • Na Tumebarikiwa kuwa na watoto.
🟢 Tangu Hapo…
Nimeshawasaidia WANAWAKE ZAIDI YA 473+
kuondokana na uvimbe kwenye kizazi
bila operation ndani ya siku 90 (miezi 3) tu.
Labda Unajiuliza…
Je, OVA CARE itafanya kazi kwangu?
Naelewa hofu yako…
Karibu kila mwanamke aliyefanikiwa leo alianza akiwa na mashaka kama yako.
Hata hawa hapa chini walikuwa na wasiwasi kama wewe 👇