Kuhusu Uzazi
Tiba za Uhakika Asili za Afya ya Uzazi
Suluhisho la kweli kwa wanawake na wanaume wanaotafuta tiba salama, asili, na zenye matokeo ya Haraka zaidi.

Huduma zetu
Tiba Bobezi za Asili.
Tiba zetu zinahusisha:
Mimea ya Asili iliyochaguliwa kwa uangalifu
Lishe na virutubisho vya asili vinavyoongeza rutuba
Elimu ya mzunguko wa hedhi & ovulation
Ushauri wa afya binafsi unaolenga mzizi wa tatizo

✅ Kurejea kwa mzunguko wa hedhi wa kawaida
✅ Kuimarika kwa mayai na mazingira ya uzazi
✅ Kuongezeka kwa nafasi ya kushika mimba haraka
✅ Kuondoa vizuizi vya uzazi kwa njia ya asili

Kuongezeka kwa uzalishaji wa mbegu zenye afya
Kuimarika kwa nguvu za tendo la ndoa
Kurejesha urijalii na furaha ya ndoa
Kuongeza nafasi ya mpenzi kushika mimba haraka

✅ Hurejesha uwezo wa kushika mimba kwa njia ya kawaida
✅ Imetolewa na wataalamu wenye uzoefu wa miaka mingi
✅ Imefanikiwa kwa wanawake wengi waliokuwa wamekata tamaa
JE! UNAHITAJI MSAADA WA DAKITARI?
Piga Simu Kupata msaada wa Haraka
0711 556 377
Onja nguvu ya Asili
Pata Huduma Fanisi
“Ni wa kati wa kupata Tiba hizi hazina kemikali wala madhara ya baadaye – ni tiba za asili zenye matokeo ya Haraka kwa afya a uzazi kwa wanawake na kwa wanaume.”
Wataalamu Wetu
Watoa huduma
Kutana na wataalamu waliobobea katika afya ya uzazi na tiba asilia. Wana uzoefu wa miaka mingi katika kusaidia wanawake na wanaume kutatua changamoto mbalimbali za uzazi kwa njia salama na asilia

Uzazi kwa Wanawake

Magonjwa Sugu

Uzazi Kwa Wanaume
Wateja Wetu
Shuhuda za Wateja
Baadhi ya kushuhu mabadiliko makubwa katika maisha ya wanawake na wanaume waliokuwa na changamoto za uzazi. Hizi ni baadhi ya simulizi halisi kutoka kwa wateja wetu waliopata matokeo ya haraka na ya kudumu kupitia tiba zetu asilia:
“Nilikuwa na shida ya mirija kuziba kwa miaka 3. Nilijaribu kila njia bila mafanikio. Nilipoanza tiba ya mimea kutoka Afya Maridhawa, ndani ya miezi miwili nilishika mimba! Namshukuru Mungu na timu yote kwa kunisaidia.”
“Nilikuwa na tatizo la mbegu dhaifu. Niliona aibu sana, lakini nilipopata ushauri na tiba ya asili hapa, hali yangu ilibadilika. Leo ninafurahia kuwa baba wa mtoto wa kwanza baada ya miaka mitano ya kusubiri.”
“Nilipata mimba tatu zilizoharibika mfululizo. Nilipoanza tiba ya kusafisha kizazi na kurekebisha homoni, nilifanikiwa kushika mimba salama hadi kujifungua. Huduma ni ya kipekee na yenye ufuatiliaji wa karibu sana.”