About Us
Tiba za Uhakika Asili za Afya ya Uzazi
Suluhisho la kweli kwa wanawake na wanaume wanaotafuta tiba salama, asili, na zenye matokeo ya Haraka zaidi.

Tiba salama na za asili 100%
Ufuatiliaji wa karibu kwa kila mgonjwa Hatua kwa Hatua
Ushauri wa kiafya na kisaikolojia.
Utambuzi wa kiini cha tatizo, si dalili tu
Matumizi ya Dawa zilizothibitishwa kwa matokeo ya haraka
Mpango wa Gharama
Mpango wa Gharama za Huduma
Huduma zetu zimetengenezwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya wateja wetu – kutoka kwa wanaotafuta ushauri wa awali, hadi wanaohitaji tiba kamili.
Wahudumu Wetu
Watoa Huduma

Prosthodontics

Consultant

Gastroenterologists
Wateja Wetu
Shuhuda za Wateja
“Nilikuwa na shida ya mirija kuziba kwa miaka 3. Nilijaribu kila njia bila mafanikio. Nilipoanza tiba ya mimea kutoka Afya Maridhawa, ndani ya miezi miwili nilishika mimba! Namshukuru Mungu na timu yote kwa kunisaidia.”
“Nilikuwa na tatizo la mbegu dhaifu. Niliona aibu sana, lakini nilipopata ushauri na tiba ya asili hapa, hali yangu ilibadilika. Leo ninafurahia kuwa baba wa mtoto wa kwanza baada ya miaka mitano ya kusubiri.”
“Nilipata mimba tatu zilizoharibika mfululizo. Nilipoanza tiba ya kusafisha kizazi na kurekebisha homoni, nilifanikiwa kushika mimba salama hadi kujifungua. Huduma ni ya kipekee na yenye ufuatiliaji wa karibu sana.”