Zifahamu Dalili za pid kwa wanawake |Undani wa Tatizo la P.I.D Maambukizi ya mfumo wa uzazi wa mwanamke (Pelvic Inflammatory Disease – PID) ni tatizo linaloweza kusababisha madhara makubwa kiafya ikiwa halitatibiwa kwa wakati. PID sugu ni hali ambapo maambukizi...
Ugonjwa wa PID ni Nini? PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke, kama vile mji wa mimba (uterasi), mirija ya fallopia, na ovari. Ugonjwa huu mara nyingi husababishwa na maambukizi ya bakteria, hasa yale yanayotokana...
*Dawa ya Kumaondoa Uvimbe kwenye kizazi bila upasuaji.* _____________ Dawa Ya asili ya kuondoa uvimbe kwenye kizazi bila upasuaji inayofahamika kama *UTERO MIN* NI Dawa iliyotengenezwa kutokana na mimea asili na matunda. Dawa hii hutenda kazi kwa kufufua tezi za...
*Jinsi Mariam Alivyopona Uvimbe Kwenye Kizazi Bila Upasuaji Mdani ya Miezi 3* ________________ Tatizo la uvimbe kwenye kizazi ni Moja ya matatizo ya kiafya yanayoshika kazi zaidi siku hizi kwa wanawake wengi. Tafiti zinaonyesha 5% ya wanawake wote Wanaweza kuwa...
*AINA 8 ZA MATUNDA NA MBOGAMBOGA ZINAZOWEZA KUSAIDIA KUONDOKANA KABISA NA KUVAA MIWANI.* _____________ Hapa tutaona Jinsi ya kurekebisha uoni wako wako kwa kutumia mboga mboga na matunda. Ni dhahiri kabisa kwamba kuona vizuri ni muhimu sana kwa maisha ya...
*MIMBA IKIPOROMOKA KWA BAHATI MBAYA (MISCARRIAGE) UKAE MUDA GANI KUSHIKA TENA?* ________________ Wengi ambao hupoteza Ujauzito kwa bahati mbaya hujikuta wakijaribu kushika mimba katika siku chache zijazo, Jambo hili siyo tu kwamba halifai-pia ni hatari. Hapa tutazungumzia nini kifanyike, katika...
Mambo 7 Ya Muhimu kuzingaria Kama unahitaji kushika Ujauzito _____________________ Karibu sana katika makala hii tutaangazia zaidi suala tendo la ndoa na hatua mbalimbali zinavyoweza kuathiri uwezekano wako wa kushika mimba. Mambo gani mengine muhimu inayoyahitaji kama unahitaji kushika...
Kuna aina nyingi za maumivu ya tumbo, lakini moja ya sababu kuu ni hedhi. Wanawake wengi huwa na maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi zao, na hii inaweza kuathiri shughuli zao za kila siku. Kwa bahati nzuri, kuna dawa...
Tatizo la upungufu wa damu kwa mjamzito, unaweza kupata upungufu wa damu. Unapokuwa na upungufu wa damu, damu yako haina seli nyekundu za damu zenye afya za kutosha kusafirisha oksijeni kwa tishu zako na kwa mtoto wako. Wakati wa ujauzito,...
Kutoona siku za hedhi (Amenorrhea) ni hali ya kutokuwepo kwa hedhi au kuchelewa kwa hedhi zaidi ya ilivyo kawaida…. Ongea na mtoa huduma wa afya ikiwa una zaidi ya miaka 15 na bado hujapata hedhi yako ya kwanza (Primary amenorrhoea)...
Kuna Mafuta Hizi aina za Mazuri ambayo ni sehemu muhimu sana ya lishe ya mtoto wako kwani mafuta hayo yanatoa nishati nguvu, pia husaidia katika ukuaji wa mwili na ubongo wa mtoto, hali kadhalika katika...